Imetabiriwa katika Biblia kwamba Mungu Ataokoa Sayuni mahali ambapo sikukuu za Mungu huadhimishwa, nasi tutabarikiwa na uzima wa milele, msamaha wa dhambi, na wokovu katika Sayuni.
Mahali ambapo Mungu Anakaa na ambapo Mungu Aliahidi kuwapa wokovu wote wakaao humo ni Sayuni ambapo sikukuu za Mungu huadhimishwa. Sayuni inayoadhimisha sikukuu za Mungu ni Kanisa la Mungu ambalo lilianzishwa na Kristo Ahnsahnghong kwa njia ya sikukuu za agano jipya.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha