Katika enzi hii, ni Kristo Ahnsahnghong ambaye Amewajalia wanadamu Pasaka ya agano jipya.
Wakati wa ujio Wake wa kwanza, Yesu Alitoa wokovu kupitia Pasaka ya agano jipya, ambayo kwayo tunakula na kunywa mwili na damu Yake. Walakini, Mungu Alitangulia kuona kwamba ukweli wa uzima utaharibiwa na Shetani wakati wa Enzi za Giza. Hivyo, Alikuja mara ya pili na ukweli wa Pasaka, mana iliyofichwa.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha