Kotekote katika Biblia, kuna mafundisho mengi kuhusu kuwaheshimu wazazi.
Miongoni mwa haya, Mungu Alipendezwa na matendo ya Ruthu ya kujitoa kumwelekea Naomi naye Akaiandika katika Maandiko kama tendo la kielelezo la utauwa kwa wazazi wa watoto ambao ni kielelezo kwa watoto wa mbinguni.
Waumini wa Kanisa la Mungu, badala ya kufuata ubinafsi unaopoza upendo wa enzi hii, wanafuata mafundisho ya Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama, wakifanya mazoezi ya kuwaheshimu wazazi.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha