Mungu Alisema kwamba ikiwa tunataka kutawala milele
na milele katika Ufalme mtukufu wa Mbinguni,
lazima tuuchukue msalaba wetu wenyewe na kumfuata Kristo.
Katika mchakato wake, kuna vikwazo na ugumu,
lakini waumini wa Kanisa la Mungu wanaishi maisha
ya utauwa kwa ajili ya utukufu wa Mbinguni na
wanafanya juhudi kuhimili uzito wa taji—msalaba.
Kama vile Yesu Kristo katika enzi ya Mwana Alivyokuwa amefanya,
katika enzi ya Roho Mtakatifu, Baba wa Mbinguni Ahnsahnghong
na Mama wa Mbinguni Wanauchukua msalaba kwa ajili ya wanadamu wote
na kuitembea njia ya mateso, Wakituambia kupokea baraka
ya ukuhani wa kifalme huko Mbinguni.
Kisha akawaambia wote, “Mtu yeyote akitaka kunifuata,
ni lazima ajikane mwenyewe, auchukue msalaba wake kila siku, anifuate.” Luka 9:23
. . . nao watatawala milele na milele. Ufunuo 22:5
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha