Mungu huwapa neema wale wanaomwamini, lakini Yeye huwa mtego kwa wale wanaomtilia shaka.
Tunaweza kupokea ufunguo wa Ufalme wa Mbinguni ikiwa tu tunatambua kwamba kweli Yesu ni Mungu na kumwamini, kama vile Petro alivyofanya.
Walakini, tukizingatia tu sifa Zake za kimwili kama Yuda Iskariote, tutanaswa katika mtego.
Roho na Bibi arusi Walikuja duniani kwa mara nyingine tena kuwatafuta watu Wao wa kweli katika Enzi ya Roho Mtakatifu kama vile Yesu Alivyotokea duaniani kisiri kama mtu wa kawaida ili kutofautisha wenye haki na waovu, miaka 2,000 iliyopita.
“Alidharauliwa na kukataliwa na wanadamu, mtu wa huzuni nyingi, ajuaye mateso. Kama mtu ambaye watu humficha nyuso zao, alidharauliwa, wala hatukumhesabu kuwa kitu.”
Isaya 53:3
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha