Kama vile Mfalme Yuri, mfalme wa pili wa Goguryeo, alivyotambuliwa kama mtoto wa Jumong kwa kutoa ishara ya hakika, lazima tuiadhimishe Pasaka ya Agano Jipya, ambayo ni ishara ya Mungu, ili kukubaliwa kama watoto wa Mungu katika Ufalme wa Mbinguni.
Mungu Amewapa mamlaka ya kuwa wana na binti Zake wale tu ambao wamekula mkate wa Pasaka na wamekunywa divai ya Pasaka, ambavyo ni mwili na damu takatifu ya Mungu Ahnsahnghong na Mungu Mama.
Kuna maafa mengi sana katika enzi hii kama mapigo yaliyoletwa juu ya Misri. Katika enzi hii, waumini wa Kanisa la Mungu wanatangaza habari ya wokovu, sikuzote wakikaa katika ukweli wa Pasaka ya Agano Jipya na wakiamini kuwa Mungu yuko pamoja nasi.
“Nitawakaribisha. Mimi nitakuwa Baba kwenu,
nanyi mtakuwa wanangu na binti zangu, asema Bwana Mwenyezi.” 2 Wakorintho 6:17–18
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha