Biblia, Kitabu Maalum kwa Ajili ya Kuelimisha Watoto wa Mbinguni Upendo ni fundisho muhimu zaidi ambalo Mungu Analitilia mkazo. Kama vile wanamfalme walivyopokea elimu maalum kwa vitabu vilivyotofautishwa na vya watu wa kawaida zamani, watoto wa mbinguni, ambao ni warithi wa Mungu, lazima wafundishwe kwa maneno ya Mungu kupitia kitabu maalum, Biblia.
Maandiko yote yamevuviwa na Mungu, na yafaa kwa mafundisho, kwa kuwaonya watu makosa yao, kwa kuwaongoza na kwa kuwafundisha katika haki, . . . 2 Timotheo 3:16
Upendo wa Mungu Mama Uliofichwa Katika Biblia Jambo muhimu zaidi katika Biblia ni upendo wa Mungu, ambao ni upendo wa Mama. Kwa hiyo, tukiongeza hata neno moja kwenye Biblia au kupunguza kitu chochote kutoka humo, hatuwezi kuwa na haki ya kuurithi ufalme wa mbinguni.
Tunapoiangalia Biblia tuliyopewa na Mungu kwa macho ya upendo, tutaweza kutambua upendo na mapenzi matakatifu ya Mungu Baba na Mungu Mama.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha