Mungu Anauhakikishia Ufalme wa Mbinguni kama mpatanishi wa Agano Jipya (Pasaka) naye Anawaongoza wanadamu kutoka katika utovu wa hakika kuelekea mustakabali mwangavu wa salama. Kulingana na Biblia, Mungu Anauhakikishia kwa Kanisa la Mungu tu.
Kwa kuwa tunaishi katika Enzi ya Roho Mtakatifu, imani yetu na akili zetu hazipaswa kukaa katika Enzi ya Mwana. Biblia inashuhudia kwamba kuwaamini Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama, waliozisamehe dhambi zetu kwa njia ya Pasaka ya Agano Jipya, ndiyo njia ya kuhakikishiwa Ufalme wa Mbinguni katika enzi hii.
“Yeye ashindaye nitamfanya kuwa nguzo katika hekalu la Mungu wangu . . . Nitaandika juu yake. . . jina la mji mkubwa wa Mungu wangu, Yerusalemu mpya, ambao unashuka kutoka mbinguni kwa Mungu wangu. Nami pia nitaandika juu yake Jina langu jipya.” Ufunuo 3:12
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha