Sisi, wanadamu wote, tulikuja duniani, tukiwa tumetenda dhambi mbinguni kutokana na kiburi chetu.
Pale tu tunapotubu dhambi zetu kikamilifu kwa kushiriki upendo sisi kwa sisi katika jangwa la imani, ndipo Mungu hakika Anatupa baraka ya furaha ya milele na utukufu wa milele kwetu mbinguni.
Waumini wa Kanisa la Mungu wanaondoa kiburi na wanajifunza kufikiriana kwa ajili ya furaha ya kaka na dada, na kutambua dhabihu kuu ya Mungu na upendo wa familia ya mbinguni.
“Amri mpya nawapa: Mpendane
kama mimi nilivyowapenda ninyi,
vivyo hivyo nanyi mpendane.
Kama mkipendana ninyi kwa ninyi,
kwa njia hii, watu wote watajua
kuwa ninyi ni wanafunzi wangu.”
Yohana 13:34–35
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha