Agano la kwanza—agano la kale—alipewa Mose katika Mlima Sinai miaka 3,500 iliyopita, lakini agano kamilifu—agano jipya—litatangazwa Sayuni katika siku za mwisho. Yeremia alitabiri kwamba Mungu Mwenyewe Ataanzisha agano jipya na wale wanaolishika watakuwa watu Wake.
“Siku zinakuja,” asema Bwana, “nitakapofanya agano jipya na nyumba ya Israeli na nyumba ya Yuda.” Yeremia 31:31
Agano jipya ni uthibitisho dhahiri unaoshuhudia kuhusu Mungu Anayetawala Sayuni. Leo, kanisa linaloadhimisha Pasaka ya agano jipya kulingana na Biblia ni Kanisa la Mungu tu ulimwenguni.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha