Katika Injili ya Mathayo, imeandikwa kwamba wale wafanyao mapenzi ya Mungu wataingia ufalme wa mbinguni; maneno, “Furahini sikuzote,” pia ni mapenzi ya Mungu, na kwa kweli lazima tuyaweke katika matendo.
Hebu tuwaongoze watu wengi kwa Mungu, Anayetupatia Sabato iliyobarikiwa, Anayetujalia Roho Mtakatifu kupitia sala zetu, na kuruhusu ufalme wa milele wa mbinguni, ili kwamba sisi sote tuishi maisha yenye furaha pamoja.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha