Maneno ni muhimu sana katika familia yetu, katika ulimwengu, na katika maisha yetu ya imani.
Katika kitabu cha Mwanzo, Shetani aliwapeleka Adamu na Eva kwenye mauti kwa neno tu, na yule mnyang’anyi aliyesulubiwa pamoja na Yesu aliokolewa kwa sababu ya maneno yake yenye neema.
Kama wenyeji wa ufalme wa mbinguni, watoto wa nuru wanapaswa kutenda kwa neema na kuonyesha utukufu wa Mungu kwa kuwa wanyenyekevu na watakatifu.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha