Ee, wanadamu maskini! Bila kujua kwamba walikuwa wana wafalme wakuu wa Mungu, wanafanywa watumwa wa Shetani na hatimaye wanakabili uharibifu wa milele. Inasikitisha sana! Kama wangaliifikiria nchi waliyotoka, wangepata nafasi ya kurudi. Walakini, kwa kuwa hawajui nchi yao wenyewe, wanakutana na mwisho wao katika pango la mauti. Kwa nini wanadamu wote hawajui nchi waliyotoka?
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha