Baadhi husema kwamba nafsi ya mwanadamu haipo tena baada ya kifo, kwa sababu imeandikwa: “Utakapokula matunda yake, hakika utakufa” (Mwa 2:17), na, “Roho itendayo dhambi ndiyo itakayokufa” (Eze 18:4). Bila shaka, ni kweli kwamba mwenye dhambi anapokufa, roho yake pia hufa. Lakini kifo cha mwili ni tofauti na kifo cha roho, kwa sababu mwili umeumbwa kutoka kwa mavumbi ya ardhi na roho hutolewa na Mungu (Mhu 12:7).
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha