Fundisho la kwamba Mungu Amekuja katika mwili lilichochea hisia na mashaka mengi mwanzoni. Hata hivyo, kwa sababu uelewa sahihi ni muhimu sana, nilijifunza unabii kuhusu Yesu Ajaye Mara ya Pili kupitia Biblia. Nilipojifunza zaidi na zaidi, nilikuja kuamini kwamba Kristo Ahnsahnghong ni Mungu Aliyekuja katika mwili, na pia niliweza kumwamini Mungu Mama Aliyekuja hapa duniani. Ukweli kwamba Mungu Alikuja kama mwanadamu si suala la maoni ya kibinafsi bali ni ukweli unaohitaji kuthibitishwa kwa usawa.
Maisha yangu ya zamani, ambayo nilihisi utupu na kutokuwa na furaha, yalibadilishwa baada ya kukutana na Mungu Baba na Mungu Mama katika Kanisa la Mungu. Sasa yamekuwa maisha ya furaha, yaliyojawa na kicheko na upendo, ninaposhikilia sana tumaini la ufalme wa mbinguni.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha