Kama vile watoto hufanana na wazazi wao, watoto wa Mungu lazima wawe pendo kama Mungu Alivyo Upendo.
Alikufa badala ya watoto Wake ambao walikusudiwa kuingia jehanamu ya milele kutokana na dhambi yao mbinguni.
Na Akawaruhusu ufalme wa mbinguni, Akizitakasa dhambi zao zote kwa njia ya damu Yake ya thamani.
Kwa hiyo, watoto wa Mungu lazima washiriki upendo wao kwa wao na wazaliwe upya kama watu wa mbinguni.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha