Mafundisho ya wanadamu ni bure na hayawezi kamwe kutupatia wokovu.
Siku hizi, kanisa pekee linaloshika Sabato na Pasaka na kuhubiri injili ya Kristo kulingana na vielelezo vya Yesu Kristo, ni Kanisa la Mungu.
Kwa kuwa Biblia haiwezi kufasiriwa kwa usahihi kwa mapenzi ya mwanadamu, Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama Walikuja duniani kutufunulia siri ya Biblia na kutujulisha njia ya kwenda mbinguni.
Huandika vivyo hivyo katika nyaraka zake zote, akizungumzia ndani yake mambo haya. Katika nyaraka zake kuna mambo mengine ambayo ni vigumu kuyaelewa, ambayo watu wajinga na wasio thabiti huyapotosha kwa maangamizi yao wenyewe, kama wapotoshavyo pia Maandiko mengine.
2 Petro 3:16
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha