Yesu, Mwenyezi Mungu, Alipokuja katika mwili kuwaokoa wanadamu, watu wengi walimdharau.
Walakini, kulikuwa na wale waliomheshimu kama vile mwanamke aliyemimina manukato juu ya kichwa cha Yesu, yule jemadari, mwanamke aliyekuwa na ugonjwa wa kutokwa damu, na Zakayo.
Watakatifu wa Kanisa la mapema walimpokea Yesu kwa imani kama hiyo, na kwa hiyo, walipokea karama ya Roho Mtakatifu wa neema.
Waumini wa Kanisa la Mungu wanaamini kwamba Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama ndio Waokozi Waliokuja kulingana na unabii, “Mungu Atakuja kama Roho na Bibi arusi katika enzi ya Roho Mtakatifu,” na wanawaheshimu.
Mungu huwajalia Roho Mtakatifu wa mvua ya mwisho, Aliye mkuu zaidi kuliko yule wa Kanisa la mapema, Akiongoza kwenye kazi ya kustaajabisha ya watu wanaomcha Mungu ulimwenguni pote.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha