Siku hizi, makanisa mengi hufanya ibada siku
ya Jumapili, lakini ni sheria iliyoanzishwa na
mwanadamu tu iliyoanzishwa Kaizari
Konstantino alipotangaza Jumapili kuwa sikukuu
ya umma na siku ya ibada mnamo 321 BK.
Siku ya saba ya Sabato, ambayo Mungu
Aliahidi baraka na utakatifu, na kutuamuru
tuishike hadi mwisho wa dunia, ni Jumamosi.
Leo, kanisa pekee linaloshika Sabato siku ya
Jumamosi kulingana na neno la Mungu ni
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha