Nikiangalia maandiko yasiyohesabika katika Biblia kuhusu Mungu Mama, nilitambua kwamba nilikuwa nimesahau maongozi ya asili kwamba viumbe hai wote duniani—sio tu wanadamu, bali mimea na wanyama—hupokea uhai kupitia mama. Ndipo tu nikapata usadikisho kamili katika ukweli.
Baada ya kukutana na Mungu Mama, Mungu Amekuwa kiwango pekee cha maisha yangu.
Hapo zamani, niliishi kulingana na viwango vyangu mwenyewe badala ya viwango vya Mungu. Walakini, kwa kuwa njia ya wokovu inategemea kuyapatanisha maisha yangu na Mungu, sasa ninajiondoa mwenyewe, naujaza moyo wangu na Mungu, na kuishi maisha ya imani yanayofuata maagizo Yake.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha