Miaka elfu mbili iliyopita, Yesu Alizisamehe dhambi
za wanadamu kupitia Pasaka ya Agano Jipya.
Kwa kuvumilia maumivu na mateso msalabani
siku iliyofuata, ambayo ilikuwa ni Sikukuu ya Mikate Isiyotiwa Chachu,
Yesu Alibeba dhambi za watoto Wake
naye Akaonyesha upendo Wake mkuu kwa ajili yao.
Njia ya msamaha wa dhambi iliyotolewa na Mungu Ahnsahnghong,
ambaye Alikuja tena kwa wokovu wa wanadamu, na Mama wa Mbinguni!
Waumini wa Kanisa la Mungu, waliovikwa neema ya wokovu
kupitia upendo wa Mungu, wanashika imani yao kwa shukrani
bila kupoteza tumaini la mbinguni.
Hivi ndivyo Mungu alivyoonyesha pendo lake kwetu:
Mungu alimtuma Mwanawe wa pekee ulimwenguni,
ili tupate uzima kupitia kwake.
1 Yohana 4:9
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha