Mungu Alituamuru "tuikumbuke siku ya Sabato
kwa kuitakasa" kama amri ya nne ya zile Amri Kumi.
Jumapili inayoshikwa na makanisa mengi leo
ni siku ya kwanza ya juma,
na siku ya Sabato ambayo Kanisa la Mungu hushika
ni siku ya saba, ambayo ni Jumamosi.
Yesu Aliweka kielelezo cha kushika Sabato
ya agano jipya—ukweli wa Biblia.
Yesu akaenda Nazareti, alipolelewa,
na siku ya Sabato alikwenda katika
sinagogi kama ilivyokuwa desturi yake.
Akasimama ili asome.
Luka 4:16
Ili kuwazuia watu wasimwendee Mungu Mama,
Shetani anawajaribu kuheshimu sana mambo ya kidunia
hata alibadili siku ya kuabudu kuwa siku ya kwanza Jumapili
ili kwamba wasiweze kuona Sabato ya Mungu.
Siku ya Sabato ni amri kamili ya Mungu
katika yote mawili Agano la Kale na Agano Jipya.
Kwa hiyo, lazima tuishike Sabato
na tupokee baraka kutoka kwa Mungu.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha