Kwa kuwa wanadamu wote ni wenye dhambi kutoka Mbinguni, hatuwezi kuelewa maneno ya Mungu kwa asilimia 100, wala kulinganisha akili yetu ya kawaida na hekima kuu ya Mungu Anayeongoza ulimwengu wote.
Kama Yoshua, wale wanaotambua kwamba maneno ya Mungu ni kweli watapokea baraka. Walakini, wale walio kama Akani na Mfalme Sauli, ambao hawakutii neno la Mungu kwa kufuata mawazo yao wenyewe, wataangamizwa.
Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama, Waliokuwa na Daudi na Yoshua, Wameahidi kwamba Watakuwa pamoja na wale wanaotii maneno ya Mungu, kwa kuwafanya mataifa yote kuwa wanafunzi na kuwabatiza kwa Jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu.
“Kwa kuwa mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu,” asema BWANA .
“Kama vile mbingu zilivyo juu kuliko dunia, ndivyo njia zangu zilivyo juu kuliko njia zenu na mawazo yangu kuliko mawazo yenu.
Isaya 55:8-9
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha