Uwezekano wa mtu kuzaliwa hai, katika mwili huu uliotokana na protini, ni mdogo zaidi kuliko kushinda tuzo ya kwanza ya bahati nasibu mara arobaini mfululizo.
Kote katika Biblia, maneno ya Mungu yameandikwa kwa usahihi mkubwa, yakisisitiza kutoongeza au kupunguza kiholela kutoka maneno Yake ikiwa tunataka kupokea uzima wa milele.
Yote ambayo Yesu na mitume wa Kanisa la mapema waliyafuata yamehifadhiwa katika Kanisa la Mungu.
Mitume Paulo na Yohana walisema, “Hakika tunaye Mungu Mama,” na pia wanatuelimisha kwamba Mungu Mama, ambaye ndiye Eva wa kiroho, huwapa wanadamu uzima wa milele.
Namwonya kila mtu asikiaye maneno ya unabii wa kitabu hiki: Mtu yeyote akiongeza humo chochote, Mungu atamwongezea mapigo yaliyoandikwa katika kitabu hiki. Kama mtu yeyote akipunguza humo chochote katika maneno . . . ,
Mungu atamwondolea sehemu yake katika ule mti wa uzima na katika ule mji mtakatifu, ambao habari zake zimeandikwa katika kitabu hiki.
Ufunuo 22:18–19
Ndipo Mungu akasema, “Tufanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu, . . .”
Kwa hiyo Mungu akamuumba mtu kwa mfano wake mwenyewe, kwa mfano wa Mungu alimuumba; mwanaume na mwanamke aliwaumba.
Mwanzo 1:26–27
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha