Ikiwa kuna Mungu mmoja tu, basi Mungu Anapaswa kurejelewa sikuzote katika umoja.Walakini, katika Biblia, Mungu pia Anarejelewa katika hali ya wingi, “Tu-.”
Hata leo, neno hili “Tu-” linabaki kuwa fumbo kwa wasomi wengi wa Biblia, lakini Kristo Ahnsahnghong Alifunua maana iliyofichika nyuma yake.
Mungu, Aliyewaumba mwanaume na mwanamke kwa mfano Wake na Anayetoa uzima wa milele katika enzi ya Roho Mtakatifu, ni Mungu Baba na Mungu Mama.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha