Kusudi la imani yetu ni wokovu wa roho zetu.
Utawekwa huru dhidi ya mauti na mateso ya
milele katika jehanamu, ambayo tuliwekewa
kukabiliana nayo kwa sababu ya dhambi
tulizotenda mbinguni, na kupokea uzima wa milele.
Kupitia Pasaka, Mungu Alitoa bure
uzima wa milele kwa roho zinazotia
huruma ambazo zilikusudiwa kufa.
Kanisa la Mungu lina baraka iliyoahidiwa
ya uzima wa milele, ambapo waumini
hula mkate wa Pasaka na kunywa divai
ya Pasaka, ikiashiria mwili na damu ya
Yesu, kulingana na mafundisho ya Biblia.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha