Makanisa yanayojulikana yanafasiri visivyo unabii, “Tazama! Anakuja na mawingu, na kila jicho litamwona, . . .” (Ufu 1:7) na kusisitiza kwamba Kristo Ajaye Mara ya Pili haji katika mwili bali Anatokea kwa njia ya tukio la kimaajabu ambalo kila mtu anaweza kushuhudia.
Walakini, kama vile unabii katika Isaya 40:5 kwamba watu wote watauona utukufu wa Mungu wakati wa ujio Wake wa kwanza haumaanishi kwamba kila mtu duniani atamshuhudia, Ufunuo 1:7 haimaanishi kwamba kila mtu duniani atamshuhudia.
Inamaanisha kwamba Atakuja katika mwili ili kwamba mtu yeyote aweze kumwona.
Msisitizo wao unawalazimisha kuipotosha Biblia, na kuifasiri Biblia kiholela kutawapelekea kwenye maangamizi kama wale waliomkataa Kristo Alipokuja kama Mwokozi wakati wa ujio Wake wa kwanza.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha