Kama vile yule bwana alivyowaambia watumishi kufanya biashara kwa talanta zilizopokelewa katika Mfano wa Talanta katika Mathayo 25, ni lazima tuhubiri kwa bidii injili ya agano jipya, ambayo tumepokea kutoka kwa Mungu, kwa ulimwengu mzima.
Tofauti na yule mtu aliyepokea talanta moja na kuizika ardhini, tunapotupilia mbali mashaka na kusitasita na kuhubiri injili kwa macho ya imani, tunaweza kujionea miujiza ya Mungu.
Kama vile mitume walivyohubiri kila siku kwamba Yesu ndiye Kristo kwa nguvu ya Roho Mtakatifu, lazima wahubiri kwa bidii wokovu wa Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama kwa ulimwengu wote, wakiamini ahadi ya Mungu ya kuwapa Roho Mtakatifu, mwenye nguvu mara saba zaidi kuliko yule wa ujio Wake wa kwanza, katika nyakati za Roho Mtakatifu.
Petro akawajibu, “Tubuni, mkabatizwe kila mmoja wenu kwa jina la Yesu Kristo, ili mpate kusamehewa dhambi zenu, nanyi mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu. . . .
Jiepusheni na kizazi hiki kilichopotoka.”
Wale wote waliopokea ujumbe wa Petro kwa furaha wakabatizwa na siku ile waliongezeka watu wapatao 3,000.
Matendo 2:38–41
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha