Mwanadamu anazaliwa, lakini hawezi kuepuka kifo. Mwanadamu huzaliwa na kufa, mwingine huzaliwa kisha kufa… Ni watu wangapi wamezaliwa na wamekufa hadi sasa? Ingawa inasemwa kwamba mwanadamu ni bwana wa viumbe vyote, yeye ni mtumwa wa mauti. Kwa nini bwana wa viumbe vyote amekuwa mtumwa wa mauti?
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha