Baadhi ya makanisa husema kwamba malaika hufanya kazi kama Roho Mtakatifu. Walakini, hakuna mstari hata mmoja katika vitabu 66 vya Biblia unaosema kwamba malaika ni Roho, au kwamba wanafanya kazi kama Roho. Mtume Paulo aliandika hivi: Ebr 1:14 『Je, malaika wote si roho watumikao, waliotumwa kuwahudumia wale watakaourithi wokovu?』
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha