Katika kujifunza Biblia, kuna jambo muhimu tunalopaswa kulizingatia kwa umakini maalum. Ikiwa tunasoma Agano la Kale tu, inaonekana kuwa inapingana na Agano Jipya, na ikiwa tunasoma Agano Jipya tu, inaonekana kuwa inapingana na Agano la Kale. Hivyo, tunapojifunza Biblia, kwanza tunahitaji kuelewa kusudi la Agano la Kale na Agano Jipya na kukumbuka tofauti kati ya mafundisho ya Agano la Kale na yale ya Agano Jipya.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha