Katika ulimwengu wa malaika ambapo hakuna kikomo katika kasi, tunaweza kuona ulimwengu wote mzima kwa karibia muda wa saa moja. Katika kitabu cha Danieli, mara Danieli alipoanza kuomba saa tisa alasiri [karibu wakati wa dhabihu ya jioni], malaika Gabrieli akaja na kumpa ujumbe wa Mungu.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha