Hapa kuna swali lingine: Mungu Alipoweka mti wa kujua mema na mabaya katika bustani ya Edeni, je, Alijua kwamba Adamu angekula matunda yake, au la? Hatuwezi kusema kwamba Mungu Mwenyezi, ambaye alikuwa Ametangaza mwisho tangu mwanzo, hakujua (Isa 46:10). Ikiwa Mungu Alijua, lazima Alikusudia Adamu na Eva watende dhambi. Hata yule nyoka aliyemjaribu Eva pia aliumbwa na Mungu. Ilikuwa ni maongozi ya Mungu kwamba Adamu na Eva wadanganywe na nyoka na kula matunda ya mti wa kujua mema na mabaya (Mwa 3:1-5).
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha