Mungu Aliacha unabii
kwa ajili ya
wanadamu wote wanaoteseka
kwa njaa ya kiroho
ya kusikia maneno
ya Mungu: “Njooni
kwa Roho na Bibi arusi
na mpokee maji ya uzima.”
Wanadamu wote watakapompata
Roho Mtakatifu, Kristo
Ahnsahnghong na Bibi arusi,
Mungu Mama, watapokea
maji ya uzima, watatuliza
kiu yao ya kiroho,
na kuokolewa.
Roho na bibi arusi
wanasema, “Njoo!”
Naye asikiaye na aseme,
“Njoo!” Yeyote mwenye
kiu na aje,
na kila anayetaka
na anywe maji
ya uzima bure.
Ufunuo 22:17
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha