Kama vile Mungu Alivyotoa safina kama kimbilio katika wakati wa Noa kabla ya kuharibu ulimwengu kwa maji, Mungu, ambaye Amekuja kama Daudi wa kiroho, Alianzisha Sayuni ya kiroho ambapo sikukuu za Mungu huadhimishwa naye Akawaagiza wanadamu wakimbilie Sayuni kabla hajahukumu. ulimwengu kwa moto katika siku ya mwisho.
Baada ya kupaa kwa Yesu, ibilisi alijaribu kuiharibu Sayuni kwa kuondoa sikukuu za Mungu, lakini kama ilivyotabiriwa, Kristo Ahnsahnghong Alizirudisha sikukuu saba katika nyakati tatu na siku ya Sabato.
Kwa hiyo, Kanisa la Mungu sikuzote linajawa na sauti za shangwe na furaha zenye tumaini la wokovu.
“Hakika BWANA ataifariji Sayuni, naye atayaangalia kwa huruma magofu yake yote; atayafanya majangwa yake yawe kama Edeni, nazo sehemu zake zisizolimika ziwe kama bustani ya BWANA. Shangwe na furaha zitakuwako ndani yake, shukrani na sauti za kuimba.”
Isaya 51:3
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha