Sababu ya Mungu kuumba viumbe vyote vilivyo hai hapa duniani kupokea uzima kupitia mama ilikuwa ni kutujulisha kwamba uzima wa milele hutolewa kupitia Mama yetu wa kiroho pekee.
Sababu ambayo Mungu Alitufundisha kwamba Yeye ni “Baba,” na sisi ni wana na binti Zake pia ni kumfunua Mungu Mama kupitia vyeo vya kila mwanafamilia.
Watu wanadhani ni muhimu kupanga kwa ajili ya kustaafu kwao wakiishi maisha mafupi hapa duniani. Lakini kwa kweli, ni muhimu zaidi kupanga na kujiandaa kwa ajili ya ulimwengu wa malaika ambapo tutaishi milele.
Wale wanaoutumaini kweli ufalme wa mbinguni wanampokea Baba Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama ambao Wamekuja kama Wokozi katika enzi ya Roho Mtakatifu. Wanashika pia siku ya Sabato na Pasaka ya agano jipya kama waumini wa familia ya mbinguni.
“Bwana wetu na Mungu wetu, wewe unastahili kupokea utukufu na heshima na uweza, kwa maana ndiwe uliyeviumba vitu vyote, na kwa mapenzi yako viliumbwa na vimekuwako.”
Ufunuo 4:11
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha