Watu wamewekewa kufa na baada ya hapo kuhukumiwa.
Ndiyo maana tunapaswa kuelewa mapenzi ya Mungu na kuishi maisha yetu ili kwenda mbinguni.
Baba wa Mbinguni na Mama wa Mbinguni Walikuja duniani ili tu kutuokoa kutokana na maumivu ya jehanamu, ambayo ni maumivu zaidi kuliko Ugonjwa wa Maumivu Tete ya Kikanda, nao Walianzisha Kanisa la Mungu na kutujulisha ukweli wa uzima.
Kama vile mwanadamu alivyowekewa kufa mara moja tu na baada ya kufa akabili hukumu,
vivyo hivyo Kristo alitolewa mara moja tu kuwa dhabihu ili azichukue dhambi za watu wengi. Naye atakuja mara ya pili, sio kuchukua dhambi, bali kuwaletea wokovu wale wanaomngoja kwa shauku.
Waebrania 9:27—28
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha