Kama Mkristo, nilihudhuria ibada kwa mazoea, nikiishi maisha ya imani bila maana yoyote ya kweli. Hata hivyo, baada ya kubatizwa katika Kanisa la Mungu, nilikuja kuelewa ukweli kwa uthabiti kupitia vitabu vya Kristo Ahnsahnghong. Mara nilipotambua kwamba Mama wa Mbinguni yuko pamoja nasi katika enzi hii, niliweza kufanya ibada kwa shangwe na furaha ya kweli.
Katika Kanisa la Mungu, nimehisi uchangamfu wa kina. Hivyo katika maisha yangu kwa ujumla, ninaendelea kuhisi kutiwa moyo kwingi na msaada mwingi wa kiroho kutoka kwa Mungu, jambo ambalo hunisaidia kutazamia wakati ujao kwa moyo mwangavu na mkunjufu.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha