Hakuna mtu yeyote miongoni mwa watu wengi wa ulimwengu awezaye kuhesabiwa haki na Mungu wala kupokea wokovu wala msamaha wa dhambi wala ahadi ya kuwa ukuhani wa kifalme wa Mbinguni wasiposhiriki katika Pasaka ya Agano Jipya ambayo Yesu Alianzisha kwa damu Yake iliyomwagwa msalabani.
Kwa kuwa hatuwezi kuwa na uzima bila kula na kunywa mwili na damu ya Mungu, Kristo Ahnsahnghong Alikuja mara ya pili, kurudisha Pasaka ambayo iliondolewa mwaka 325 BK, na kushuhudia kuhusu Yerusalemu Mama wa Mbinguni, chanzo cha uzima kwa wanadamu.
Kwa maana mnafahamu kwamba mlikombolewa kutoka mwenendo wenu usiofaa ambao mliurithi kutoka kwa baba zenu, si kwa vitu viharibikavyo kama fedha na dhahabu, bali kwa damu ya thamani ya Kristo, yule Mwana-Kondoo asiye na dosari wala doa.
1 Petro 1:18–19
Hivyo Yesu akawaambia, “Amin, amin nawaambia, msipoula mwili wa Mwana wa Adamu na kuinywa damu yake, hamna uzima ndani yenu."
Yohana 6:53
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha