Mungu Baba mmoja Aliicheza nafasi ya Baba
kwa jina Yehova katika enzi ya Baba;
katika enzi ya Mwana, Alikuja Akiwa
na jina la Yesu na kuweka kielelezo
kwa wanadamu kama Mwana;
katika enzi ya Roho Mtakatifu, Alikuja mara
ya pili kwa jina Kristo Ahnsahnghong.
Hii ndiyo maana ya Utatu.
Wale wanaoelewa Utatu wanaweza kuamini
na kutambua kwamba kile Mungu Yehova Alichofanya
kilifanywa na Yesu, na kile Yesu Alichofanya
kilifanywa kwa Jina Jipya Kristo Ahnsahnghong.
Wanaweza pia kuelewa kwamba katika enzi
ya Roho Mtakatifu, Kristo Ahnsahnghong
lazima Aje na Mungu Mama,
Bibi arusi wa Roho Mtakatifu na Awaongoze
wanadamu wokovu kupitia Pasaka ya agano jipya.
Mimi, naam mimi, ndimi BWANA,
zaidi yangu hakuna mwokozi.
Isaya 43:11
“Huyu ndiye . . .
Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote,
kwa maana hakuna jina jingine chini
ya mbingu walilopewa wanadamu
litupasalo sisi kuokolewa kwalo.”
Matendo 4:11–12
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha