Kama vile kila mtu ana baba na mama aliyewazaa kimwili, kuna Baba wa kiroho na Mama wa kiroho wanaotujalia uzima wa milele katika ulimwengu wa malaika.
Tukiamini katika hili, lazima tuiadhimishe Pasaka ya agano jipya, njia pekee ya kuwa watoto wa Mungu.
Watoto wa Mungu, watakaotawala milele katika ufalme wa mbinguni, lazima walijue jina la Mungu.
Kama vile watakatifu walivyolipokea jina Yesu na kuokolewa katika enzi ya Mwana, waumini wa Kanisa la Mungu wanampokea Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama katika enzi ya Roho Mtakatifu, wanalihubiri jina la Mungu kwa ulimwengu wote na kuhubiri habari za wokovu.
Kama hakuna kuadibishwa (ambalo ni fungu la watoto wote), basi ninyi ni watoto wa haramu wala si watoto halali.
Tena, sisi sote tunao baba wa kimwili, waliotuadibisha nasi tukawaheshimu kwa ajili ya hilo. Je, si inatupasa kujinyenyekeza zaidi kwa Baba wa roho zetu ili tuishi?
Waebrania 12:8–9
Wengine wanatumaini magari ya vita, na wengine farasi, bali sisi tutalitumainia jina la BWANA, Mungu wetu.
Zaburi 20:7
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha