Tunaweza kuokolewa tu kwa kumpokea Kristo Ajaye juu ya mawingu kabla ya hukumu kwa moto.
Kupitia unabii na utimizaji wa Yesu, inakuwa wazi kwamba mawingu hayarejelei mawingu halisi angani bali ni mfano wa Kibiblia unaoashiria mwili.
Sababu ya ujio Wake wa pili katika mwili ulitabiriwa kama atakuja juu ya mawingu, ni kwa sababu kama vile mawingu hufunika nuru ya jua, mwili hufunika nuru ya utukufu wa Mungu, na kama vile vitu vyote vinavyohuishwa kupitia mvua kutoka mawingu, Mungu Anakuja katika mwili na kuokoa wanadamu kupitia maneno ya maji ya uzima.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha