Ufalme wa mbinguni ni mahali pa furaha na shangwe ya milele, pasipo na mauti, maumivu, wala mateso.
Ndiyo maana Mungu Alituambia tusiishi maisha yasiyo na lengo kana kwamba tutaishi miaka elfu wakati hatuwezi kuishi hata miaka mia, bali kuishi kwa ajili ya ufalme wa mbinguni.
Kama vile Yesu Alivyowajalia wanadamu uzima kupitia Pasaka ya agano jipya miaka 2,000 iliyopita, Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama Wametufundisha kwamba lazima tuiadhimishe Pasaka ili kuishi uzima wa milele, na sio maisha yanayonyauka kama maua ya shambani.
Tumeishi siku zetu zote chini ya ghadhabu yako, tunamaliza miaka yetu kwa kuomboleza.
Siku zetu za kuishi ni miaka sabini, au miaka themanini ikiwa tuna nguvu, lakini yote ni ya shida na taabu, nazo zapita haraka, nasi twatoweka.
Zaburi 90:9–10
Maana, “Wanadamu wote ni kama majani, nao utukufu wao ni kama maua ya kondeni; majani hunyauka na maua huanguka, lakini neno la Bwana ladumu milele.” . . .
1 Petro 1:24–25
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha