Biblia inamshuhudia Mungu Baba na Mungu Mama kupitia Adamu na Eva.
Kama vile Eva anavyoitwa “mama wa wote walio hai,” aliwapa wanadamu uhai wa kimwili, na Mungu Mama Akaja katika dunia hii kuwapa wanadamu uzima wa milele.
Mungu Akasema, “Tufanye mtu kwa mfano wetu, . . .” na Aliumba mwanaume na mwanamke, na Alitumia nomino ya wingi "Elohim" [Miungu] zaidi ya mara 2,500 katika Biblia.
Isitoshe, Alishuhudia kwamba Mungu Mama yupo, Anayewapa wanadamu uzima wa milele kupitia mwongozo Wake wa kuumba vitu vyote vipokee uzima kupitia mama tu.
Ndipo Mungu akasema, “Tufanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu, . . .”
Kwa hiyo Mungu akamuumba mtu kwa mfano wake mwenyewe, kwa mfano wa Mungu alimuumba; mwanaume na mwanamke aliwaumba.
Mwanzo 1:26–27
Adamu akamwita mkewe Eva, kwa kuwa atakuwa mama wa wote walio hai.
Mwanzo 3:20
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha