Kwa kuwa Mungu Anasema kwamba wale wanaomwamini Yeye watampokea Roho Mtakatifu, wale wanaotaka kumpokea lazima waamini na kufuata mafundisho ya Mungu Yehova katika enzi ya Baba, Yesu katika enzi ya Mwana, na Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama, Ambao Wamekuja kama Roho na Bibi arusi, katika enzi ya Roho Mtakatifu.
Wale wanaolitii neno la Mungu ndio wale wanaomwamini Mungu kwa kweli. Kama vile Noa, Abrahamu, Mose, Yoshua, na Kalebu walivyobarikiwa kwa kutii neno la Mungu, vivyo hivyo watu wenye imani wanaoishika siku ya Sabato na Pasaka—maneno ya Mungu—watabarikiwa leo.
Yeye atokaye kwa Mungu husikia kile Mungu asemacho. Sababu ya ninyi kutosikia ni kwa kuwa hamtokani na Mungu.” Yohana 8:47
BWANA atakufanya kuwa taifa lake takatifu, kama alivyokuahidi kwa kiapo, kama ukishika maagizo ya BWANA Mungu wako na kwenda katika njia zake. Kisha mataifa yote ya dunia wataona kuwa unaitwa kwa jina la BWANA, nao watakuogopa. Kumbukumbu la Torati 28:9–10
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha