Siku ya Ufufuo ilionyesha uweza mkuu wa Kristo kwa kuvunja nguvu ya mauti kupitia kufufuka Kwake kutoka kwa wafu, na ikawa msingi wa uamsho wa Kanisa la mapema.
Pia ni sikukuu ya furaha na tumaini vinavyotuwezesha kuishika imani yetu licha ya ukandamizaji na mateso makali.
Katika Siku ya Ufufuo, Mungu Anatoa tumaini lenye shangwe kwamba wale waliokufa katika Kristo watapata ufufuo mzuri na wale walio hai watabadilishwa ghafla.
Hii ni Siku ya Ufufuo ya agano jipya inayoadhimishwa kulingana na mafundisho ya Kristo Ahnsahnghong na Mungu Mama.
Basi kama tumehubiri ya kwamba Kristo alifufuliwa kutoka kwa wafu, mbona baadhi yenu mnasema hakuna ufufuo wa wafu?
Lakini kama hakuna ufufuo wa wafu, basi hata Kristo hakufufuliwa.
Tena ikiwa Kristo hakufufuliwa kutoka kwa wafu, kuhubiri kwetu kumekuwa ni bure na imani yenu ni batili.
1 Wakorintho 15:12–14
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha