Katika Sikukuu ya Mikate Isiyotiwa Chachu, wanadamu wote wanapaswa kukumbuka upendo wa Kristo wa dhabihu na mateso msalabani, kutubu dhambi zote za zamani, na kuwahimiza wanadamu kutubu na ukweli wa wokovu Aliotukabidhi.
Mungu Ahnsahnghong na Mungu Mama, Waliokuja hapa duniani katika mwili, waliishi maisha ya kuhubiri, wakisema, “Tubuni, kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia.”
Kwa hili, Walionyesha kwamba maisha yaliyotolewa kwa ajili ya kuhubiri ni maisha yenye baraka yanayotimiza toba nzuri.
“Nawaambieni, vivyo hivyo kutakuwa na furaha zaidi mbinguni kwa sababu ya mwenye dhambi mmoja atubuye, kuliko kwa wenye haki tisini na tisa ambao hawana haja ya kutubu. . . .
Vivyo hivyo, nawaambia, kuna furaha mbele ya malaika wa Mungu juu ya mwenye dhambi mmoja atubuye.”
Luka 15:7–10
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha