Mungu Anapokuja tu ndipo wanadamu wanaweza kutambua ukweli wa mti wa uzima na kuingia katika ufalme wa mbinguni.
Watu walimtesa na kumsulubisha Yesu, ambaye Alikuja duniani kwa ajili ya wokovu wao, hata hivyo Kristo Ahnsahnghong Alikuja katika dunia hii tena kuokoa na kuwapa watoto Wake uzima.
Kama ilivyoandikwa, “Atakuja mara ya pili kuwaletea wokovu wale wanaomngoja,” Kristo Ahnsahnghong Alikuja katika dunia hii, Naye Akatufundisha kuhusu Pasaka ya agano jipya ambayo wanadamu walikuwa wamepoteza, Alitimiza unabii wote wa Mfalme Daudi, na Alimdhihirisha Mama wa Mbinguni Yerusalemu.
Kwa sababu ya hili, waumini wa Kanisa la Mungu leo wanaweza kuwa na tumaini la ufalme wa mbinguni katika Sayuni.
Kama vile mwanadamu alivyowekewa kufa mara moja tu na baada ya kufa akabili hukumu,
vivyo hivyo Kristo alitolewa mara moja tu kuwa dhabihu ili azichukue dhambi za watu wengi. Naye atakuja mara ya pili, sio kuchukua dhambi, bali kuwaletea wokovu wale wanaomngoja kwa shauku.
Waebrania 9:27–28
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha