Siku za Sodoma na Gomora, wakwe wa Loti walipatwa na maafa kwa kulichukulia onyo kama mzaha. Nabii aliyepuuza onyo la Mungu aliuawa kimasikitiko na simba njiani. Wakati wa Mose, wazaliwa wa kwanza wa kila nyumba ya Misri ambayo haikuadhimisha Pasaka walikufa. Kupitia historia hii, tunajifunza kwamba lazima tuzingatie ujumbe wa onyo la Mungu katika enzi hii.
Kristo Ahnsahnghong Alisema kwamba kushika amri za Mungu ni kumpenda Mungu. Pia Alitufundisha kwamba, kama vile wakati wa Kutoka, ni kwa kushika amri ya Pasaka tu tunaweza kupokea ishara ya ukombozi kutoka kwa maafa na kuwa chini ya ulinzi wa Mungu katikati ya maafa ya mwisho yaliyotabiriwa.
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha