Mfalme Solomoni alisema kwamba kumcha Mungu ni wajibu mzima wa wanadamu wote, na Yesu Alisema kwamba amri kuu zaidi ni kumpenda Mungu kwa mioyo yetu yote na kwa akili zetu zote.
Alianzisha sheria ya agano jipya, akisema kwamba upendo ni utimilifu wa sheria.
Mungu Alisulubiwa msalabani kwa sababu Aliwapenda wanadamu sana.
Wanyama wote waliotolewa dhabihu kulingana na sheria ya Agano la Kale wanawakilisha Mungu, hatimaye wakishuhudia jinsi Kristo Ahnsahnghong na Mama yetu wa Mbinguni, ambao Wamekuja katika enzi ya Roho Mtakatifu, Wangeanzisha agano jipya, ikiwemo siku ya Sabato na Pasaka, kwa ajili ya wokovu wa wanadamu.
Hii ndiyo jumla ya maneno; yote yamekwisha sikiwa: Mche Mungu, nawe uzishike amri zake, maana kwa jumla ndiyo impasayo mtu.
Mhubiri 12:13
Enyi watoto, watiini wazazi wenu katika Bwana, kwa kuwa hili ni jema.
“Waheshimu baba yako na mama yako,” hii ndio amri ya kwanza yenye ahadi,
“upate baraka na uishi siku nyingi duniani.”
Waefeso 6:1–3
119 Bundang S.L.P, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jam. ya KOREA
Simu 031-738-5999 Faksi 031738-5998
Makao Makuu: 50, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Kanisa Kuu: 35, Sunae-ro, Bundang-gu, Seongnam-si, Gyeonggi-do, Jamhuri ya Korea
Jamii ya Misheni ya Dunia ya Kanisa la Mungu. Haki zote zimehifadhiwa. Sera ya Faragha